Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amezuiwa kunywa pombe baada ya kuangushiwa maombi mazito na kushauriwa kubadilika kitabia.


Muigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’.

Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, juzikati Maya alifika katika kanisa moja lililopo Mbezi jijini Dar na kuombewa kisha mchungaji wa kanisa hilo akamzuia kunywa pombe.

“Kazuiwa lakini najua kwake itakuwa mtihani, sidhani kama ataacha kweli,” kilisema chanzo hicho.

Alipotafutwa Maya, alikiri kuombewa lakini alipotajiwa suala la kuzuiwa pombe na kama ataweza kweli kuacha, alikata simu ghafla.
Kuungana nasi facebook bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top