Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
MSANII wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema anajutia kitendo chake cha kumtolea nje staa wa filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ pale alipotangaza nia ya kutaka kumposa na kujiona bado mdogo.
            Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’.

Akipiga stori na paparazi wetu, Bozi alisema kuwa, miaka mingi iliyopita, akiwa ametoka kuchezwa unyago, mkongwe huyo wa sanaa ya maigizo alitinga nyumbani kwao kwa lengo la kumuoa na kukubaliana na wazazi wake, akamletea pozi.

       Staa wa filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’.

“Dah! Sa hizi ningekuwa nimetulia kwenye ndoa yangu na Dk. Cheni sababu wazazi walikubali, sasa maringo yangu yameniponza,” alisema Bozi.Alipotafutwa Dk. Cheni kuhusiana na ishu hiyo, alikiri kumfahamu Bozi kama msanii lakini hakumbuki kama aliwahi kumtaka.

Kuungana nasi facebook bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top