![]() |
Wengine ni Maganga s/o Piusi (14 ), msukuma,mkulima wa Kishapu ambaye amejeruhiwa paja la kushoto,mgongoni na mkono wa kushoto.
Seni s/o Edward (25 ), msukuma mkulima wa Lubaga Kishapu amejeruhiwa bega la kushoto, majeruhi wote wametibiwa na kuruhusiwa.
Chanzo mwanawamakonda blog
Bonyeza hapa
|
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment