Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Licha ya kuwa na kikosi chenye fowadi kali na ghali, Barcelona ikiwa nyumbani Camp Nou imekubali kipigo cha bao 1-0. 

Bao lililofingwa na mshambuliaji  Joaquin Larrivey wa Celta Vigo limeimaliza Barcelona yenye wakali kama Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar.


Juhudi za angalau kutaka kupata sare zilikuwa kubwa lakini mwisho Barcelona ikalala nyumbani katika mechi hiyo ya La Liga.
Bonyeza hapa kuungana nasi facebook

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top