Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
emergency-sign
Taarifa iliyonifikia muda mfupi uliopita inahusu ajali ya kuanguka kwa Jengo ambalo lilikuwa linaendelea kujengwa.
Mtu mmoja amefariki na wafanyakazi na wakazi wengine wa eneo la Ruaraka, Kenya wamenusurika kifo kutokana na ajali ya kuanguka kwa jengo ambalo lilikuwa linaendelea kujengwa, kwa mujibu wa mashuhuda wanasema ajali hiyo imesababishwa na nyufa zilizokuwa katika jengo hilo.

Taarifa ya Citizen News imesema wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba waliwahi kuwakemea wamiliki wa jengo hilo kwa kufanya ujenzi chini ya kiwango lakini hakuna mabadiliko yaliyowahi kufanyika.
Uchunguzi unafanyika kubaini sababu iliyopelekea ajali hiyo.
Wakazi wa eneo hilo wakiwa eneo la tukio lilipoanguka jengo hilo. Picha: Citizen News

Wakazi wa eneo hilo wakiwa eneo la tukio lilipoanguka jengo hilo. Picha: Citizen News

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top