Fuso likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Simba Mtoto.
Basi la Simba Mtoto baada ya ajali.
Taswira kutoka eneo la ajali.
Muonekano wa fuso hilo.
BASI la Simba Mtoto lenye namba za usajili T 501 BRZ lililokuwa linasafiri kutoka mkoani Tanga kwenda Dar es Salaam limegongana uso kwa uso na fuso la Mohammed Enterprises lenye namba za usajili T 507 BAE lililokuwa likitokea jijini Dar jana.
Katika ajali hiyo, dereva wa fuso amepoteza maisha papohapo huku watu wawili ambao pia walikuwa katika fuso hilo wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali.
(PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)
Bonyeza Hapa kuungana nasi facebook
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

















Post a Comment
Post a Comment