March 19, 2025 10:41:43 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Young Killer 67
Kwenye mfululizo wa single zake alizowahi kutoa hii ni ya 5 ikiwa ni baada ya Dear Gambe,Jana na Leo,Mrs. SuperStar,My Power na hii inaitwa Umebadilika ambapo mwanzoni ilifanywa Classic Sound lakini ikaja kurudiwa na Combination Sound kwa Man Water.

Video imefanywa na Director Hefemi Mtanzania ambae anaishi na kufanya kazi nchini Marekani.  Kama kifaa chako hakina uwezo Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
11 Oct 2014

Post a Comment

 
Top