Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Nicki Minaj ameendelea kusheherekea mafanikio ya single yake mpya ya ‘Anaconda’ ambayo hivi sasa imefanikiwa kufikia mauzo ya Platinum nchini Marekani.
nicki minaj
Kupitia Instagram Nicki amashare habari hiyo na mashabiki wake wapatao 9,630,191 jana kwa kupost cover ya album hiyo na kuandika, “Just released on UK iTunes and is now certified #Platinum in America #Anaconda #PolowDaDon #DaInternz @bigjuice205 on the boards baby!!!!!!”
Video yenye ‘utata’ ya wimbo huo iliyotoka August pia ilifanikiwa kuvunja rekodi ya kupata views nyingi Vevo, kwa kupata clicks milioni 19.6 ndani ya saa 24 toka ilipoachiwa. Hadi sasa ina views 237,272,613.
Album mpya ya Minaj iitwayo ‘The Pink Print’ inatarajiwa kutoka November 24, 2014.
Kibonajoro.com ndio mtandao wako kwa habari za kitaifa/kimataifa, burudani, michezo, udaku na siasa, Tuwe pamoja huku pia >> Facebook , Twitter

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top