Kamati kuu ya #SerengetiFiesta2014 inawataarifu wakazi wa Mtwara na Kigoma kwamba tamasha la Serengeti Fiesta lililokuwa lifanyike wikiendi hii kwa mikoa hiyo limesogezwa mbele na tarehe za lini litafanyika zitatangazwa katika siku za usoni.
Kamati inaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment