Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Hatari! Uwanja wa Ndege wa Mwanza si salama na unaweza kutumiwa na magaidi kama Al-Shabaab kuteka ndege na kuua watu  wakati  wowote, Risasi Jumamosi Septemba 27,2014,lina ushahidi mzito.Pichani juu niTaswira ya uwanja wa Ndege wa Mwanza.

Jengo la Uwanja wa Ndege wa Mwanza.

Upelelezi wa kina uliofanywa na gazeti hili bila kujulikana katika operesheni maalum iliyopewa jina la ‘HAKIKISHA NCHI SALAMA’, waandishi wetu waliokuwa jijini Mwanza walifanya jaribio la kutaka kuingiza bastola ndani ya ndege na kugundua ni jambo rahisi kuliko ilivyotarajiwa.
KUSOMA ZAIDI STORI HII GONGA HAPA.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top