Wakazi wa Songea mjini mkoani Ruvuma usiku wa kuamkia leo waliongezeka kwenye orodha ya mikoa iliyopata shangwe za Serengeti Fiesta 2014 hadi sasa. Jionee picha za show hiyo.
Linah akiwa na shabiki ambaye uzalendo nae ulimshinda
Linex aliwaimbisha wakazi wa Songea vya kutosha
Mkuu wa wilaya ya Songea alikimtangaza mshindi wa Super nyota Diva
Mkuu wa wilaya Songea, Joseph Joseph akiwasalimia wakazi wa Songea
Mo Music
Mr Blue na TID jukwaani
Nay na Stamina
Nay wa Mitego akimtambulusha producer wake Mr T Touch
Nickson George
Recho akiwa na dancers wake
Shabiki huyu uzalendo ulimshinda akapanda jukwaani kumfuata Baraka da Prince
Barnaba Boy akiwaimbisha wakazi wa Songea
Dj Fetty alikiwaambia wakazi wa Songea kuwasha simu zao na kuzinyanyua juu
Bonyeza Hapa kuangalia picha zaidi
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment