Mwigizaji wa filamu na mwanamuziki wa miondoko ya kizazi kipya, Zuwena Mohammed 'Sholole' amesema kuwa matumizi ya kondom wakati wa mahaba hayaleti ladha ndio maana alilazimika kwenda kupima ngoma na mpenzi wake Nuh Mziwanda ili wasiwe wanatumia kondom.
SHILOLE 'SHISHY BABY' AKIRI KUTOTUMIA KONDOM KWENYE MAPENZI

Post a Comment
Post a Comment