Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Beki wa zamani wa timu ya taifa ya England na Manchester United, Rio Ferdinand jana alizawadiwa tuzo ya heshima kwa kuitumikia timu yake hiyo ya zamani ya Manchester United kwa miaka 12 kabla ya kuhamia QPR msimu huu.Queens_Park_Rangers_EngliGwiji wa Manchester United, Sir Bobby Charlton ndiye alimkabidhi zawadi hiyo. Tukio hilo lilifanyika kabla ya mechi kuanza iliyokuwa ikichezwa kwenye uwanja Old Traford ambapo Rio alishangaliwa na kupigiwa makofi ya heshima.

Mechi hiyo iliisha kwa Man United kushinda mabao 4-0.
Bonyeza hapa like page yetu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top