Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Polisi 1Kama uko town Dar es salaam unaweza ukawa umeshakutana na hizi gari mpya za Polisi kwenye maeneo mbalimbali ambapo hata usiku zimeonekana katika baadhi ya maeneo ya mji zikifanya doria.

Kwa kipindi kirefu tulizoea kuona Defender zikiwa gari pekee za Polisi kufanya doria kwenye maeneo mbalimbali ya nchi lakini sasa zimekuja hizi mpya ambazo vilevile zinavutia na kuifanya Dar es salaam kuwa miongoni mwa majiji yenye magari mazuri ya kufanyia doria.
Naendelea kufatilia kujua kama magari haya ni kwa ajili ya Polisi Dar es salaam au yamesambazwa kwenye miji mbalimbali.
Polisi 2Pamoja na hayo yote, Jeshi la Polisi Dubai ndio linatajwa kuwa jeshi lenye magari mazuri sana na ya kifahari, magari ambayo gharama zake ni za mamilioni na tumezoea kuyaona kwenye video za watu maarufu sanasana Wanamuziki duniani.
Dubai Police 2
Dubai Police

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top