Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii wa muziki wa bongo fleva Nasibu Abdul 'Diamond' amemzawadia mpenzi wake Beutiful onyinye Wema Sepetu gari kama zawadi ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Wema Sepetu na kuandika ujumbe huu...........usome hapo chini 
Nlitama nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu, sina uwezo huo mumy... tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo.... na siku zote tambua kwamba your Platnumz, love you so much...! Happy Birthday baby

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top