
Msanii maarufu wa Kenya, Huddah Monroe amezindua vazi lake jipya kwa staili ya kipekee na ya aina yake.....
Katika uzinduzi huo, mrembo huyo ameamua kujianika hadharani akiwa uchi wa mnyama, juu akiwa amevaa vazi lake jipya alilolizindua.

Picha hiyo ilisindikizwa na ujumbe usemao: "Everyday above ground is a blessing . What Jah bless , No man curse! ✌️"
Bonyeza hapa kuangalia
Bonyeza Hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment