Kocha Marcio Maximo akimpongeza Genilson Santana 'Jaja' baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Azam FC mechi ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Bao lingine lilifungwa na Simon Msuva.

Timu ya Yanga wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuchukua ngao ya hisani kwa kuipiga waoka mikate wa Azam magoli matatu kwa bila huku straika aliyesajiliwa msimu huu wa majira ya kiangazi mbazil Genilson Santana 'JAJA' akitupia magoli mawili huku lingine likifungwa na Msuva. kwa mechi hii ya Ngao ya hisani inaashilia ufunguzi wa ligi kuu Tanzania bara kuanza.
Bonyeza Hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment