Baada ya kusubiri takribani mwezi mmoja hatimaye mashabiki wa Man United leo wameonja ushindi wa kwanza kwenye ligi kuu ya England kwenye mechi dhidi ya QPR.
Wakicheza mbele ya mashabiki wao 76,000, Man United iliwachezesha wachezaji wake wapya Angel di Maria, Daley Blind, na Marcos Rojo kwa mara ya kwanza kwenye uwanja wa Old Trafford.
Alikuwa Angel Di Maria aliyefungua kalamu ya magoli katika dakika ya 24 kupitia mpira wa adhabu, dakika ya 36 Ander Herrera nae akafunga bao la pili kabla ya Wayne Rooney kuongeza goli la 3 katika dakika ya 44.
Mpira uliopigwa na Angel di Maria ukijaa nyavuni na kuifanya Man Utd kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya QPR.
Kipindi cha pili Man United ikapata goli la 4 kupitia Juan Mata.
Radamel Falcao ilibaki kidogo afunge goli la 5 lakini umahiri wa kipa Roberto Green ukamzuia mcolombia huyo.
Manchester United wakishangilia bao lao la tatu lililofungwa na nahodha wao Wayne Rooney.
Manchester United: De Gea 6; Rafael 6.5 Evans 6.5 Blackett 6.5 Rojo 6; Blind 7 Herrera 7 Mata 6.5 Di Maria 8.5; Rooney 7 Van Persie 5.5.
Subs: Shaw, Falcao (for Mata 67, 5.5), Januzaj (for Di Maria 82), Lindegaard, Fletcher, Valencia (for Rafael 67, 6), Pereira.
Scorers: Di Maria 24, Herrera 36, Rooney 44, Mata 58
Booked: Van Persie
QPR: Green 6.5; Isla 5 Caulker 5.5 Ferdinand 5.5 Hill 5; Sandro 6 Phillips 6 Fer 5.5 Kranjcar 6 Hoilett 5.5; Austin 6
Subs: McCarthy, Traore (for Hill 46, 6), Onuoha, Henry (for Sandro 74, 6), Vargas (for Austin 59, 5.5), Zamora, Taarabt.
Referee: Phil Dowd 7
Star Man: Angel di Maria
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment