March 18, 2025 08:34:28 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Arsenal huenda wanakaribia kumsajili Alessio Cerci, 27, kutoka Torino baada ya mchezaji huyo kuachwa katika kikosi kitakachocheza na Inter Milan Jumapili (Daily Star), Arsenal wanakaribia kumsajili kiungo wa SouthamptonMorgan Schneiderlin, 24, baada ya kukubali kutoa pauni milioni 24 (CaughtOffSide), Manchester United huenda ikashuhudia wachezaji 11, ama wakiondoka, au kuingia Old Trafford kabla ya dirisha la usajili kufungwa Jumatatu (Daily Star), Real Madrid wapo tayari kuwajaribu tena Manchester City kumtaka Alvaro Negredo, 29 (Mirror), Louis van Gaal alimshawishi Robin van Persie kuahirisha upasuaji wa goti kabla ya Kombe la Dunia, lakini sasa huenda akamkosa mshambuliaji huyo wakati fulani msimu huu (Daily Mirror), Juventus wanaamini kukamilisha uhamisho wa Radamel Falcao. Real sasa wanamtaka Javier Hernandez (Gazetta dello Sport), Arsenal wameacha kumfuatilia Loic Remy wa QPR ambaye anajiandaa kujiunga na Chelsea (BBC). Imesalia siku moja tu kabla ya dirisha la usajili kufungwa. 
  • Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
31 Aug 2014

Post a Comment

 
Top