Samahani kwa picha hii ya malaika huyu ambae hana hata hatia.
Jana saa tano usiku jamaa yuko na mke na watoto wawili wa kike wanatoka dina wanarud home mara jamaa wa toyo wawili simamisha gari na kumwambia atoe vyote Ulivyonavyo mkaka hakusimama wakaanza mkimbiza wanaelekea mbauda wakapiga risas kwa nyuma maskin ikampata mtoto wake wa miaka nane alikuwa amelala kwenye siti straight kwenye ubongo hawana habr wanafka mahali pa usalama wachek ni nini wanaona mtoto wao damu zinatoka machoni walimkimbiza hospitali ya mount meru wameshindwa kumtoa risas mtoto akafarik jana hyohyo .. Huzun sana jaman jamaa anafanya kaz UN lhiyo hiyo iberia alirud tu likizo na hyo mambo ya ebola juzi sasa ndio alikua anarud kwenye ebola jana ilikuwa last night na familia kaipeleka dina haya Mtoto ndo hivyo yaani analia kama mtoto mdogo.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment