Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

clip_image002Huyu ndiye malaika wa Mungu aliyetelekezwa maeneo ya bamaga nje ya chuo cha ustawi wa jamii karibu na TBC hapa akiwa amebebwa na mmoja wa mfanyakazi wa ITV baada ya wasamaria wema kumleta ITV,Anayeonekana kwa nyuma ni mmoja wa vijana waliomuokota mtoto huyo
clip_image002[6]Hembu angalia jinsi katoto kalivyo kazuri kenyewe kanahisi kako na mama yake kumbe msamaria mwema.clip_image002[8]Baadhi ya wafanyakazi wa ITV wakimshangaa mtoto aliyetupwaclip_image002[10]
Picha zote kwa hisani ya Reuben Mchome wa ITV/Radio One

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top