Marekani imesema kuwa imetekeleza mashambulizi zaidi kaskazini mwa Iraq dhidi ya maeneo yanayodhibitiwa na wapiganaji wa Jihad.

Mashambulizi ya marekani
Hatahivyo ameonya kuwa kampeni hiyo ya kijeshi itachukua miezi kadhaa na kwamba itachukua mda kwa jeshi la Iraq kujikusanya ili kutoa upinzani mkali dhidi ya wanamgambo hao.

Ndege za marekani zilizobeba misaada nchini Iraq
Wamesema kuwa lazima njia ya kuwaondoa raia hao hadi katika eneo lililo salama itafutwe ili kuzuia mauaji ya kimbari.
Mfanyikazi mmoja wa shirika la Amnesty International kazkazini mwa Iraq, Donatella Rovera ameiambia BBC kwamba maelfu ya raia kazkazini na magharibi mwa mlima huo wamefanikiwa kutoroka,lakini wengi zaidi katika eneo la kusini la mlima huo hawana mahala pa kwenda.
Amesema kuwa wale waliotoroka wako katika hali mbaya baada ya kukaa siku sita bila chakula na maji kidogo.
>>>Chanzo bbc
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712483331.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment