HILI NDO BALAA ALILO LIFANYA SHILOLE SIKU YA MATUMAINI UWANJA WA TAIFA A+ A- Print Email Mwanadada mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo. Zuwena Mohamed 'Shilole' akiongea na mashabiki wake. Wacheza show wa msanii wa Shishi Baby wakifanya yao. Shishi Baby akifanya makamuzi. Shishi Baby akiagana na Mashabiki wake baada ya kufanya makamuzi ya ukweli katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331 kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment