Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


4Hivi karibuni kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu uhusiano kati ya Beyonce na Jay Z kutaka kuvunjika. Story hizo zinapata nguvu kutokana na historia ya ugomvi uliotokea kati Jay Z na mdogo wake Beyonce kwenye lift.

Camera ya mapaparazi ikakutana na mama wa Beyonce akiwa anatoka restaurant na kumuuliza kuhusu ukweli juu ya maisha ya ndoa ya mwanae na Jay Z.  Alichojibu mama huyo ni kwamba kila kitu kipo sawa, aliongeza zaidi kwa kusema wanaochukia wataendelea kuchukia lakini wawili hao (Jay Z na Beyonce) mambo yao yapo vizuri.

Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top