Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Salma jabu nisha ndio msanii pekee namba moja ambae anaongoza kwa filamu zake na alizo shiriki kuwa zinaongoza kwa mauzo sokoni mpaka sasa hajapatikana wa kumpiku hii ina tokana na uhodari wake wa kujituma na kujiheshimu na kuwapa radha mashabiki wake na Rekodi yake haijavunjwa mpaka sasa sokoni na kupachikwa jina la Diva wa soko la filamu tanzania.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
 
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top