Pichani juu ni pilika za wakazi wa jiji katika mitaa ya
Kongo Kariakoo jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya Sikukuu ya Eid fitr
ambapo kamera yetu imewanasa wakazi hao wakifanya manunuzi mbalimbali kwa ajili
ya sikukuu hiyo.
(PICHA NA GABRIEL NG'OSHA /…)
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment