Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 52 anatuhumiwa kumtishia kwa kisu
mwanaume mwenye umri wa miaka 25, baada ya mwanaume huyo kukataa kufanya
naye tendo la ndoa.
Mwanamke huyo Elizabeth Highley alikuwa anakunywa wine nyumbani kwake pamoja na mwanaume huyo Crue Finley katika eneo la Jensen Beach, mjini Florida, Marekani ambapo mwanaume huyo alikataa kufanya kitendo hicho.
Bwana Finley amewaambia polisi kuwa mwanamke huyo alichukua kisu na kuanza kumfukuza nje ya nyumba hadi mitaani. Bwana huyo aliomba msaada baada ya kuona polisi nje ya duka moja.
Mwanamke huyo amekamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya kushambulia mtu.
Picha kutoka jela ya kaunti ya Lucie.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment