Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


IJUE JUMLA YA IDADI YA TUZO ALIZOZIPATA LADY JAYDEE MPAKA SASA__TEAM UKWANZA SOMA HAPAMwanadada Lady Jaydee alimaharufu kama Binti Machozi wa TEAM ANACONDA, leo ameweka wazi kua tangu alipo anza mziki mpaka sasa baada ya kupata tuzo ya mwanamziki bora wa kike wa Afrika Mashariki ya Afrimma iliyofanyika nchini marekani kua ndo tuzo ambayo mpaka sasa imekamilisha idadi ya jumla ya tuzo thelathini (30) ambazo amezipokea mpaka sasa.

Hili kaweka wazi leo katika ukurasa wake wa facebook. TEAM UKWANZA inapeleka hongera zake kwa mwanadada Lady Jaydee
(Commando) kwa mafanikio makubwa aliyoyapata kutokana na hii tasnia ya muziki, Hongera sana LADY JAYDEE.Picha aliyoweka leo na ujumbe wake

Tuzo yangu ya 30. Asanteni kwa ushirikiano, nimeipokea na ninarudi nayo nyumbani. Shhhhhh! !!! Kimya Kimya
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top