Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Biashara mpya: Viatu vya Cristiano Ronaldo vitapelekwa sokoni mwezi februari mwakani. Cristiano Ronaldo ambaye anawaona watu wanavalia jezi za Real Madrid na Ureno zenye jina lake, sasa nyota huyo mwenye miaka 29 ameingia kwenye biashara mpya ambapo ataiona nembo yake ya CR7 kwenye miguu ya watu.


Mshambuliaji huyo wa Madrid alianika biashara yake ya viatu kupitia ukurasa wake wa facebook ambayo ilipendwa na watu zaidi ya milioni 93. Viatu hivyo vyenye nembo yake ni vya mtoko wa kawaida na vina nembo ya Ronaldo.
Vitaanza kuonekana sokoni mwezi februari mwakani.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top