Kiu
ya kushinda zawadi yenye jina lililomsafirisha kimawazo imemponza
msichana mmoja Muingereza baada ya kuamua kutoa utu wake na kukubali
kushiriki kwenye mchezo wa kufanya vitendo vya ngono na wanaume 24
hadharani kwenye club ya usiku ili ashinde 'Holiday'.
'Holiday' ni jina la kinywaji cha cocktail kilichotengenezwa na gin, vodka, peach schnapps, blackcurrant liqueur na fruit juice.
Lakini
masikini msichana huyo mwenye miaka 18 hakulifahamu hilo, ndio maana
alijitoa muhanga kushiriki katika mchezo huo uliofanyika kwenye bar
iitwayo Alex's Bar huko Hispania.
Binti
huyo ambaye jina limehifadhiwa aliambiwa na waandaaji wa mchezo huo
kuwa endapo atashiriki basi atajishindia 'Holiday', lakini mwisho wa
siku kumbe zawadi ni ya kinywaji cha cocktail kinachogharimu £4 sawa na
elfu 11 ya kibongo.
Msichana
huyo alikuwa akishangiliwa na umati uliokuwa ukishuhudia mchezo huo
mchafu huku wengine wakirekodi tukio hilo kwenye simu zao.
Msichana
huyo alikuwa akihamasishwa kunywa sana na kuambiwa atashinda 'holiday'
kama atashiriki kwenye mchezo huo. Kwa bahati mbaya 'Holiday' hiyo
ikageuka kuwa ni jina la kinywaji cha cocktail. Namwonea huruma' shuhuda
mmoja aliiambia gazeti la The Sun.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment