angalia wema sepetu, ommy dimpoz na aunty ezekiel wakiimba kusherekea ushindi wa diamond platnumz…
Ni Masaa machache kabla ya kuanza kwa tuzo za MTV MAMA Awards na Tayari
Ommy Dimpoz , Wema Sepetu na Aunty Ezekiel wameanza kujirekodi huku
wakiimba nyimbo ya “I Gotta feeling” ya Black eyed peas yenye mistari
inayoashiria kumtakia ushindi Diamond Platnumz Usiku wa leo…
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment