Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwili wa Mkazi wa kijiji cha Ruganzo wilayani Ngara mkoani Kagera Raulian Ladislaus mwenye umri wa Miaka 40, ukiwa umeangukiwa na Kichuguu na kufariki papo hapo June 12,2014,mchana wakati akichimba kichuguu hicho kwa lengo la kuangamiza mchwa waliokuwa wakiharibu miwa yake aliyoilima  karibu kichuguu hicho.

Tukio hilo limetokea  majira ya saa 4 asubuhi wakati Marehemu akichimba kichuguu hicho ili kukihamisha kwa lengo la kusalimisha ekari moja ya Miwa iliyokuwa karibu na kichuguu hicho kabla ya kuangukiwa na kukandamizwa na Kichuguu hicho kifuani.
Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Uganzo walishirikiana kuchimba kichuguu hicho kwa lengo la kumtoa marehemu ambaye alizikwa juzi June 12, 2014,Jioni Nyumbani Kwake.. ‘’Mungu ailaze mahali pema peponi.... Amina..’’
Picha na Mwanawa makonda blog 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top