Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye kwa sasa yuko Kenya amesema kuwa, haamini kama kweli wasanii wa filamu Recho Haule na Adam Kuambiana wamefariki dunia mpaka siku atakapoyaona makaburi yao.

Msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha.
Akizungumza kwa njia ya simu, Madaha alisema ameshitushwa na vifo hivyo na vimemfanya akose amani kutokana na namna walivyoondoka duniani ghafla.
“Nilitamani sana kuwepo lakini niko mpakani mwa Kenya na Uganda kuna ziara maalum ya kikazi naifanya.Yaani bado siamini kama kweli wamefariki, mpaka nije nione walipozikwa,” alisema Baby Madaha.
                                      
BOFYA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top