Wakati akijiandaa na tuzo za MTV, Diamond Platinumz amepiga hatua
nyingine kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter baada ya akaunti
yake kuwa verified leo.
Hivi sasa Diamond kama msanii wa kimataifa ana kila haki ya kuwa
mmiliki halali wa akaunti yake hiyo yenye followers zaidi ya 84, 400.
Diamond anaungana na wasanii wengine kama AY kama wasanii wa bongo fleva ambao akaunti zao za Twitter zimekuwa Verified
Post a Comment
Post a Comment