Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 



habari zinasema Huyu baba alikuwa church katoka kaacha watoto ktk gari akawa ameenda kununua gazeti wakati ananunua akaona majamaa wawili wanamzonga mdada wa bureau akaenda kumsaidia kumbe kulikuwa na majamaa mengine ktk pikipiki wakaona mzee anawaletea wenge ndo wakamshindilia za kutosha mh majanga.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top