"tume-experience good times together, bad times together, sad times,
happy times, sasa hivi tumefika point tumetulia. tumeshaumizana, yeye
kashaniumiza, mimi nilishamuumiza, kwa hiyo imefika point tumetumetulia,
what we are looking for is just to make our future better na ndiyo
maana you can see tunasapotiana kwenye vitu vingi kwasababau tayari
nimeshajua he is my man, am his woman" alifunguka Wema mwenye umaarufu mkubwa kuliko hata baadhi ya viongozi wa kitaifa nchini
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment