Flora Mbasha alikuwa na mchumba anaitwa Imma Lushanga Ambae Baba yake ni
Mmiliki wa Mabasi ya Lushanga huko Mwanza kabla hajaja Dar akiwa
amechumbiwa tayari Wiki mbili kabla ya kufunga ndoa Flora akapata safari
ya kwenda UK ambako wenyeji wake walimshauri kwamba kwa uzuri wake
atapata Mume mzungu mwenye pesa kuliko Imma yule wa Mwanza.
Ili kumkimbia Imma
Flora na familia yake wakamtengenezea ishu Imma mchumba wake kwamba ana Ukimwi kwa hiyo Flora hawezi kuolewa naye,
Hii Nakumbuka ilikuwa Stori kubwa Sana Mwanza Kipindi Hicho zaidi ya
Miaka kama Kumi na nne iliyopita mpaka leo Imma hajawahi kuoa tena na
wala hana hamu.
-Udakuspecially
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment