Mwanamke mmoja nchini Indonesia amejifungua mjusi badala ya mtoto.
Mwanamke huyo Debi Nubatonis, mwenye umri wa miaka 31, ameanza kupata
vitisho kutoka kwa kundi la vijana kutokana na kitendo hicho
wakimtuhumu kwa uchawi ambapo sasa mamlaka za nchi hiyo zimetuma timu ya
wataalamu kwa ajili ya kumaliza utata wa tukio hilo lisilo la kawaida.
Wanasayansi katika timu inayofanya uchunguzi kwa mwanamke huyo
wamesema wanahitaji kupatiwa muda wa kutosha kuchunguza tukio hilo na
kuja na maelezo ya kueleweka.
Kitendo hicho cha mwanamke kujifungua mjusi badala ya mtoto
kilibainishwa na mkunga anayedai kwenda nyumbani kwa mwanamama huyo
kumsaidia kujifungua katika kijiji cha Oenunto kwakuwa alishindwa kufika
hospitalini.
Madai ya mwanamke huyo kujifungua mjusi yameibua vitisho dhidi ya
mwanamke huyo na familia yake ambao wanatuhumiwa kwa uchawi na kuamsha
mjadala mkubwa katika mitandao.
Tazama video hapo chini. AU Bonyeza link hii
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment