Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
mauaji1
Vuguvugu la Sunni lenye msimamo mkali la ISIS ambalo limeteka maeneo ya Kaskazini mwa Iraq limesambaza picha ambazo zinaonyesha jinsi wapiganaji wake walivyoangamiza idadi kubwa ya wanajeshi wa Iraq.
mauaji2Kwa mujibu wa BBC, Picha zinazosambazwa kupitia internet zinaonyesha miili ya watu iliyosongamana ndani ya mtaro ikiwa imepelekwa hapo kwa kutumia malori.
mauaji3Wapiganaji wa ISIS wanaonekana wakibeba bendera nyeusi ya huku wakichoma miili hiyo na kulazimisha mateka kulala chini.
mauaji4
mauaji6
Wakati huo huo, Serikali ya Marekani inafikiria kuingia katika mazungumzo ya moja kwa moja na Iran juu ya hali ya usalama huko Iraq.
BONYEZA HAPA  

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top