Familia ya Kardashian imebarikiwa kuwa na wasichana warembo ambao kila siku wapo kwenye headlines.
Kendall Jenner, mdogo wake na Kim Kardashian
Ukianzia Kim, Kourtney na Khloé Kardashian na sasa Kendall na Kyle Jenner ambao ni watoto wa baba mwingine, Bruce Jenner. Kendall alizaliwa November 3, 1995 lakini sasa tayari amekuwa na umaarufu mkubwa katika ulimwengu wa fashion.
Pamoja na kuonekana kwenye show yao ya ‘Keeping Up with the Kardashians’, Kendall amewahi kuonekana kwenye show za televisheni ambapo mwaka 2012 aliigiza kwenye episode moja ya Hawaii Five-0. Yeye na dada yake, Kylie wana kampuni yao ya nguo iitwayo “Kendall & Kylie. Kwa sasa Kendall amekuwa akishiriki kwenye show kubwa za fashion duniani ikiwemo Paris Fashion Week inayoendelea.
Ona picha zaidi hapa.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment