Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kamati ya Uchaguzi ya Simba imemuondoa kabisa Michael Wambura katika mchakato wa uchaguzi wa Simba kwa madai kuwa amevunja taratibu za uchaguzi.
Wambura tenaAkiongea na waandishi wa habari leo mchana katika ukumbi wa Serengeti, JB Belmonte Hotel jijini Dar, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Simba Dr. Damas Ndumbaro amesema Wambura amerudia kosa kwa kufanya kampeni kabla ya wakati kwa mujibu wa taratibu za uchaguzi.
Kamati hiyo imeeleza kuwa TFF haina mamlaka kikatiba kusimamisha uchaguzi wa Simba kwa hiyo uchaguzi huo utaendelea kama ulivyopangwa kufanyika June 29 mwaka huu.
BONYEZA HAPA  

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top