Ripoti zinasema kuwa shambulio
jengine limetokea katika kijiji kimoja cha kaskazini-mashariki mwa
Nigeria, karibu na pahala ambapo wasichana wa shule zaidi ya mia-mbili
walitekwa nyara.
Alieleza kuwa watu kama watatu waliuwawa na kwamba kijiji hicho kimeteketezwa na moto.
Aliongeza kusema anafikiri washambuliaji walikuwa wapiganaji wa Boko Haram.
BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment