Wasanii wa muziki na wadau mbalimbali wa muziki wakiwa
wanaendelea kulisubiria tukio la utoaji tuzo za MTV Africa Music Awards
‘MAMA’ nchini Afrika Kusini, wasanii wanaendelea kufanya maandalizi
mbalimbli kwajili ya show hiyo itayofanyika usiku wa kesho na kuonyeshwa
live kupitia DStv Channel 322 na channel nyingine.Tazama picha za
maandalizi na matukio mbalimbali ya wasanii. Diamond akiwa kwenye jukwaa
Post a Comment
Post a Comment