Askari
polisi wanne wamejeruhiwa, baada ya msafara wa mbio za Mwenge wa uhuru
kupata ajali katika wilaya ya Sikonge, ukiwa njiani kuelekea Singida.
Tutaendelea kukujuza hali zao
CHANZO EAST AFRICA TV
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment