Msanii Vannessa Mdee leo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter amekuwa verified ikiwa zimebaki siku chache kabla ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa na hichi ndicho alicho kiandika
What a birthday just got verified!!! Heeeey @verified that's wussup
— VeeMoney!ComeOver (@VanessaMdee) June 7, 2014
BOFYA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment