Msanii wa filamu Irene Uwoya amekimbizwa hosipital nchana huu (May
29) baada ya kupoteza fahamu ghafla leaders club katika hatua za kuaga
msiba wa msanii mwezake Rachel Haule aliyefariki wiki hii.
Irene Uwoya akiwa amepoteza fahamu
>>Bongo5
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment