
Historia ya maisha ya msanii wa bongo muvi Wastara Sajuki imeonekana
kugusa nyoyo za wengi hasa baada ya mtangazaji wa kipindi cha Sporah
show kushindwa kujizuia na kudondosha machozi mbele ya camera .Tukio
zima hili limetokea hivi punde wakati mwanadada Sporah alipokuwa
anaandaa kipindi cha Sporah show huko London Uingereza kama alivo
bainisha mwenyewe kwenye ukurasa wake huu.<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment