Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Utafiti uliofanywa na jopo la watafiti wa Ufaransa
katika kituo cha PYW umesisitiza kuwa Ufaransa
ndio nchi pekee, kati ya nchi 40 zilizofanyiwa
utafiti, inayokubali fikra ya usaliti wa ndoa na
kuliona kuwa ni sehemu ya starehe.
Asilimia 47 ya Wafaransa wanaona kuwa usaliti wa
ndoa ni jambo sahihi na haliwaumizi kichwa katika
maisha yao.
Wakati huo huo, kwa upande wa nchi nyingine
duniani, asilimia 78 ya watu walioulizwa wanaona
kuwa usaliti wa ndoa ni utovu wa maadili na
kwamba ni jambo lisilokubalika kabisa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top