Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii wa filamu Dr Cheni ameruhusiwa jana kutoka katika hospitali ya Buruhani jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kutokana kuugua na ugonjwa wa Dengeu.
Kupitia Instagram ameandika: Asanten sana ndugu
marafiki washabiki kwa dua zenu leo nimeruhusiwa
sina cha kuwalipa, mungu atawalipa kwa sala
(maombi) yenu amin”
Dr Cheni alilazwa May 6, mwaka huu baada ya
kuugua na ugojwa huo ulimsababishia aishiwe
nguvu na kupungukiwa damu mwilini.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top