Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii baby madaha na meneja wake joe kariuki wanatarajia kufunga ndoa mwezi wa kumi na moja mwaka huu jiji nairobi nchini kenya.
meneja joe aliogea na paparazi wetu kuwa anajianda kufanya kazi na baby madaha wataanda nyimbo 20 wakishafunga ndoa watapumzika na kuwa wakiachia nyimbo moja moja.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top